Harmonize Atupiwa Dongo na Riser Stardia


Msanii chipukizi maarufu kwa  jina Riser Stardia amefunguka mengi sana kumuhusu msanii chipukizi aliye chini ya label ya WCB .


Riser alisema "kiukweli kutokana na staili ambayo msanii huyo amekua akiitumia katika kufikisha ujumbe kwa jamii ni staili ambayo imembeba japo amekuwa akifata nyendo za mkubwa wake yaani Diamond plutnums, hivyona tumia nafasi yangu kumshauri msanii huyo kuwa ni kweli game anaweza ila anapaswa kubadili staili anayoitumia ili wadau wake waweze kumuelewa vizuri zaidi."
 
Nje na hayo msanii Riser anategemea kuachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Nisachi' ambayo kafanya na producer LOLLY POP, kwahiyo  dogo huyo kasema ivi karibuni wadau mkae tayari kuipokea video hiyo mpya.
Previous
Next Post »

Total Pageviews