Video: Shilole Atangaza Vita Kwa Vanessa Mdee Kisa Wimbo Wa Say My Name!



Vita kati ya Shilole na Vanessa mdee ambavyo wengi wamedhani kuwa Vanessa Mdee atamtumia Shilole ili aweze kutengeneza attention kwa wimbo wake mpya anao taka kuachilia imechukua sura mpya baada ya Shilole kutupia video hii mtandaoni akitangaza vita baina yake na Vanessa Mdee.

Usiku wakuamkia leo, Wawili hawa walitupiana maneno Instagram ambapo Vanessa mdee aliandika "Nikupe KICKII ujulikane au sio? Kila siku twanyamaza ndio mtugaragaze. Sit the f**k down. Mimi sio wale uliowazoea. P.s: You ain't worth this post inashushwa sasa hivi. #MessageSent" huku akiwa kaambatanisha na picha ya Shilole.

Naye Shilole akajibu kwakuandika "Jaman Vee kaanzisha ugomvi Na wa Igunga ajue tu kuumaliza. Kukauka Kama kuni vepeee #SayMaName"

Mashabiki wameshindwa kujua nini haswa chanzo cha bifu hilo!



Previous
Next Post »

Total Pageviews