Video: Giggy Money Asema Hata Akiwa Hawara Kwa Matonya Hamna Shida


Story ambazo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Matonya kwa sasa anatoka kimapenzi na Giggy Money huku wakisikika kuwa ni kick ya ngoma yao ya Supu.

Katika mahojiano waliyofanya na ENewz wote wawili walishindwa kukubali moja kwa moja kuwa wameanguka pamoj akitandani au hawajaanguka kitandani lakini walibaki kusifia Supu huku Giggy Money akisema kuwa Matonya kwake nizaidi ya mpenzi.

Previous
Next Post »

Total Pageviews