Producer aliyetayarisha wimbo wa Sorry ya Justin Bieber afungukia madai ya kuiba wimbo huo



Skrillex amejibu tuhuma za kuiba wimbo huu zilizotolewa na msanii Casey Dienelanayesema Justin Bieber ametumia aina ya sauti ambayo yeye ndio mwenye haki nayo na kuitumia kwenye wimbo wake wa 2015 ‘Sorry‘.


Producer huyu aliandika twitter “SORRY but we didn’t steal this, “#wedontsteal”.
Ila producer mwingine aliyehusika kwenye kazi hii,DJ Diplo anasema yeye alijua ni sample ila hataki issue hii ifike mahakamani.Sorry ilishika namba moja kwenye nchi kama Marekani na Uingereza, mpaka sasa imesikilizwa na watu milioni 6.5.
Previous
Next Post »

Total Pageviews