Mange Kimambi Insists that Dj Majjizo is A Drug Dealer...Now she shades Le Mutuz, Read what she wrote on Instagram!



Tanzanian Famous Blogger Living in Los Angeles, Mange Kimambi has continued to put at hard time a famous Dj and Owner of Efm Radio of Dar es salaam, Dj Majjizo by insisting that he is Drug Dealer. This has happened after another famous blogger and as himself calls King of Social Media in Bongo, Willium Malecela 'Le Mutuz'also he is the son of former Prime Minister of United Republic of Tanzania to deny all Mange said on her Instagram account and assisted Dj Majjizo from his allegations of being drugs dealer for a long time. Also Le Mutuz came in front to support Majjizo on his Instagram account by saying he knows well Majjizo from long time ago and can not be as Mange said, to confirm about that he said Majjizo has been given a registration to open up Tv station but he has failed due to having nothing (funds) to manage. Mange after hearing all from Le Mutuz has decided to come out with more explanation about what she said yesterday and this is what she has written on her Instagram account!

"We Le Mburulaz issue ya huyu Majizo ungekaa kimya. Juzi nilikuchunia issue ya Makonda ukapata sifa??? Unajifanya unamjua sana Majizzo? Humjui Majizzo ambae pia anayetumia majina ya Rashid na Francis 😉 ukitaka kumjua Majizzo angalia hali ya Aboubakar Sadik wa Radio One ambaye Ndo alikuwa besti yake anahangaika nae kutoka kimaisha. Eti Majizzo alihangaika na Nyama Choma nchi nzima. 😂 muongo wahedi wewe Majizo alikuwa anaandaa tamasha la Likizo Time mikoani yeye na Aboubakar Sadik. Na hiyo show ilikuwa ya Mama Sweya wa TBL wao walikuwa kivuli ili isijulikane show ya nani. . We Le degree 3 ambazo ukoo wako hauzijui Unakumbuka Maisha Club iliungua? Ilivunjwa yote na kujengwa upya ndani ya miezi kama miwili hata insurance hawalipi fasta hivyo. 😉Jamaa alijenga na cash money ile hoteli . Alafu Eti unasema hana hela ya kufungua TV. Akili yako imejaa mafuta ka tumbo lako. . . Jinsi ulivyo mjinga Eti Majizzo kapewa leseni ya TV lakini anashindwa kuanzisha sababu hana pesa. Hivi unajua kama Majey aliiendesha DTV kwa mwaka mzima? Tena alinunua haki ya pekee Bongo ya kuonesha UEFA Champions League na bado akawang'ang'ania Startimes waifanye ni channel bure? Unayajua haya Le mburulaz wewe?? .leo unakuja kuwaambia watu eti hana hela ya Kuwa na TV 😏. Watu wanamjua huyo Majuzzo unaempapatikia toka wakati yuko choka mbayaaa yuko kwafujo DJ's na Kina Aboubar Sadik mpaka wakazinguana Majuzzo akaiua Kwafujo Djs na kumdiss Aboubar Sadik . Akaja Kuwa DJ wa magic Fm na Channel Ten baada ya hapo ndo akaingia kwenye Unga. . Majuzzo kawa bilionea ndani ya 4-5 years Only. Jiheshimu wewe kubwa jinga na ukiniuzi ntaandika hapa safari yako ya SA juzi ukapokelewa na Kinje na umerudi bongo straight Msoga kwa Rizwani. Ulivyo na show off Kama demu Mbona hukuweka picha za Safari ya South Africa?? Kimya kimya umeenda na kurudi?? Na 
ukiniuzi zaidi na Juma Pinto anaekuhufadhi kwenye apartment yake ntamtumbua...Jiheshimu!!!!! Janaume zima kupewa apartment na mwanaume mwenzio utadhani demu! 😂😂😂. . . Majuzzo ni muuza unga mkubwa Tanzania na vile watu nishawashtua watamfatilia wenyewe taratibu na wataleta ushuhuda wenyewe hapa hapa insta. Jamaa ni muuaji wa nguvu ya taifa. 😡😡😡😡"

Previous
Next Post »

Total Pageviews