Wema Sepetu ayaandika haya baada ya kuona katuni inamuonyesha kampakata Idris Sultan

Miss Tanzania 2006/2007, Wema Issac Sepetu ameonyesha hisia zake kwenye picha ya katuni ambayo wamechorwa mastaa wa Bongo wakiume ambao wameonekana kuwa na wapenzi mastaa ila walio wazidi umri.

Picha ya kuchorwa ambayo inawaonyesha baadhi ya mastaa wa kiume hapa Bongo wanao onekana kulelewa na mastaa wa kike.
Picha ya kuchorwa ambayo inawaonyesha baadhi ya mastaa wa kiume hapa Bongo wanao onekana kulelewa na mastaa wa kike.
Picha hiyo ambayo inamuonyesha Harmonize akiwa kabebwa na Jacqueline Wolperakiwa amembeba Harmonize huku akionekana kumlisha kitu kama mtoto, Wema Sepetu akiwa kamshika Idris Sultan kama vile mama anavyo dekewa na mtoto wake,Diamond Platnumz akiwa kwenye kigari cha kujifunzia kutembea ambacho anaonekana kuwekwa na kushikwa na Zari na wamwisho akiwa na Moses Iyobo akiwa kabebwa mgongoni na Aunty Ezekiel.
Wema Sepetu baada ya kuona picha hiyo, Inaonekana kaifurahiya na kuandika haya “Ila aliechora hii natamani tu nimuone… Nimpe mkono…. ðŸ˜‚😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Leo nimeongeza siku za kuishi wallahy…. I jus laughed too much today….. ðŸ˜‚😂😂😂😂….Ukisoma na dialogue ndo unakufa kabisa…. Nimeipenda hio ya “Aogopa Mimi… Aogopa chacha
Previous
Next Post »

Total Pageviews