Kama Wewe Ni Shabiki Wa Diamond Platnumz, Basi Hiki Alicho Kiandika Kinakuhusu



Mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva nchini TanzaniaNasib Abdul aka Diamond Platnumz, ambaye amechaguliwa kwenye mashindano ya BET Awards mwaka huu ameamua kuweka wazi ratiba ya show zake anazo takiwa kuzifanya kwa mwaka huu wa 2016 ambazo tayari amesha zijua kwa sasa.

Ameanza kuandika kwa tarehe ya leo 21st May 2016 ambapo atakuwa Mwanza, kisha Dallas Texas (USA) tarehe 28 mwezi huu na 29 mwezi huu ata perform DC Washinton (USA).

Katika ratiba yake ameandika show ya BET Awards (USA) Mwezi June tarehe 26 na tarehe 7 mwezi July kufanya show Kyleya Mbeya, Australia atakuwepo Melbourne tarehe 15 July huku 16 akiwa Sydeney na 17 Perth Australia nakumalizia tarehe 22 July Barclays Center NY (USA).
Previous
Next Post »

Total Pageviews