Video: Nay Wamitego aibuka kuponda mapenzi ya Harmonize na Jacqueline Wolper



Katika couple hapa Bongo ambayo inaongelewa sana kwasas ni couple ya Harmonize na Jacqueline Wolper, Lakini kwake Nay Wamitego ameibuka nakuamua kuwaponda baadhi ya mastaa wa Bongo nakusema kuwa niwakatili kwatabia yakuwakwarua chipukizi nakumtaja Wolper, Nisha na Shilole akiwataja wanatabia hiyo.

Lakini pia ameonekana kuponda mahusiano ya Harmonize na Jacqueline Wolper.

Previous
Next Post »

Total Pageviews