Wema Sepetu: Ipo siku nitaitwa mama


Kupitia Account yake ya Instagram Wema Sepetu alipost picha akiwa na mama yake mzazi na kuweka maneno yalisomeka kuwa iko siku na mimi nitaitwa Mama. Jambo ambalo liliibua hisia za mashabiki zake na wengine kuanza kumfariji kuwa Mungu yupo na anasikia kilio chake na wengine wakiendelea kumtia moyo kuwa asijali kweli ipo wakati na yeye atakuwa mama na kupata mtoto.

"Muombe Mungu Wema Sepetu hata sisi wanawake wenzako tunaumia sana kuona unatukanwa kisa mtoto, tunakuombea Mungu akujualie mtoto wako usisemezane nao hao watu wanakuongelea vibaya" Lovenes France
Previous
Next Post »

Total Pageviews