Video: Mashabiki Wa Harmonize Waleta Fujo Kumtaka Wolper Wakati Wa Show Ya Msanii Huyo Mbeya



Mapenzi ya member wa Wasafi RecHarmonize na Jacqueline Wolper , yanaonekana kuungwa mkono na wadau wengi kama vile yalivyokuwa mapenzi ya Diamond Platnumz na Wema Sepetu miaka ya nyuma.

Show ya Harmonize aliyo ifanya Mbeya imethibitisha hayo baada ya asilimia kubwa ya mashabiki kushika mabango yaliyokuwa yameandikwa jina la Wolper na pale alipokuwa anajiandaa kuimba wimbo wa 'Bado' mashabiki walipaza sauti kumtaja mpenzi wake huyo.

Unadhani mapenzi ya Harmonize na Jacqueline Wolper ni kutafuta kick au niyakweli kuwa wanaendana?

Previous
Next Post »

Total Pageviews