Video: Harmonize amponda Wema Sepetu kuhusu kutoa mimba!


Moja ya video ambayo imesambaa kwaharaka sana kwenye mitandao kwa wakati huu ni hii video ambayo inamuonyeshaHarmonize akiwa na marafiki wake wakirekodi video ya selfie huku yeye akiimba mistari ambayo imesababisha maumivu kwa aliyekuwa mpenzi wa Diamond PlatnumzWema Sepetu.

Mistari ambayo Harmonize ameiimba inasema "Nasikiaga uzuri wa nyumba usikufanye utembee peku, Sister duu usitoe mimba leo, kesho ulie ka..." Mashabiki waliokuwa nao walimalizia Sepetu.

Hazijapita dakika nyingi baada ya video hiyo kusambaa mtandoni ambapo naye Wema Sepetu akapost picha akiwa na mama yake mzazi nakuandika "Iko siku na mimi ntaitwa Mama....😔😔😔," naye Idris Sultan akaweka picha ya pamoja iliwaonyesha Wema pamoja na mtoto kisha kuandika "Uitwe Mara ngapi ? ðŸ˜ŠðŸ˜‰"

Previous
Next Post »

Total Pageviews