VIDEO: Angalia birthday ya mtoto wa Aunty Ezekiel na Moses Iyobo


Mwigizaji Aunty Ezekiel ambaye yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Baba mtoto wake aitwae Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, waliangusha party ya mtoto wao wa kwanza Dar es salaam na kualika mastaa na watu wengine May 22 2016.Angalia video hapa chini

Previous
Next Post »

Total Pageviews