Video: Prezzo Ashare Video Hii Akichezewa Kimahaba Na Mchumba Wake Chumbani....


Rapa kutoka Kenya, Prezzo, ambaye hivi karibuni amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Michelle Oyola ambaye hivi karibuni amekuwa karibu sana na staa huyu.

Prezzo aliwahi kufikia hatua hii na wanawake wawili ambaye ni mama mtoto wake Daisy na marehemu Goldie, kwa sasa mitandao ya kijamii Kenya imeshikwa na taarifa hizi kuwa huyu atakuwa mke wa Prezzo.

Usiku wakuamkia leo Prezzo ameshare video hii akionyesha moenzi wake akicheza cheza wakati wapo chumbani huku akijiandaa kwenye show jijini Arusha.

Previous
Next Post »

Total Pageviews