These are Fans Comments When Asked by Zamaradi Mketema of Take One About Yesterday's Show.


The Host of Take One Show, Zamaradi Mketema was Interviewing Bongo Movie Actress Jacquiline Wolper, Among the Hot Questions that fans were curious to know is about her current relationship status with WCB Singer Harmonize, It Appeared that Wolper was more seeking Petty after being left by her Congolese Man....

Read what Fans had to say  Below:-


joceline199265: Zama tulioko nje ya nchi hatuon bac tiekee utube jaman
14 hours ago
charshappy92: Nimependa ameongea ukweli huyo mwanaume ni tapeli tu alitaka kuchezea mwili wake
14 hours ago
qun_renee: Mungu azidi kukutia nguvu @wolperstylish hayo yote ck moja utayasahau.
14 hours ago
joseph.julius2013: Jackline wolper mwenyezi mungu akusaidie katika magumu uliyoyapitia, kipengele cha zile picha mmmh haya we kaka.
14 hours ago
kingsleyrichad256: Ayo mapito kaza buti
14 hours ago
samuel_mdurufu: Hamna lolote hayo ni maisha ya maigizo tu
14 hours ago
cuteymumu: Wengine tuko mbali na nyumban tuwekee youtube plz
14 hours ago
minamatemba: Ni maisha kwa binadamu yeyote anaweza kupitia mnamhukumu sana anajua ukeeli yeye na mungu wake mengine hsyawahusu nimaisha yake
14 hours ago
salmarajah: Mmmmmhhh!!! atareeee ila hujifunzi kwann wolper
13 hours ago
swai_bety: Maigizo no more
13 hours ago
barakalucas62: Nakukubali xana dadangu Zamarad
13 hours ago
melisasymon: Uigizaj ndio fani yake
13 hours ago
jumaasaleh63: White people they have one character (they never wold about what people they saying, 4my device you just continue with life style ok ma,dear jack.
13 hours ago
adeline2933: Aunt zama wengine hatujaona plz u tube nasi tufurahi na tusikie ya huyo bi mzee
13 hours ago
kiondomngazija: Nmemis marudio lin zama
13 hours ago
sarahjanefelix: Life goes Wolper and people gonna talk ufanye zuri ufanye baya kama wao malaika vile
13 hours ago
danielakuti: Unapofanya uamuzi usiende kichwa kichwa Omba Mungu kisha sikiliza ushauri kwa wenye Hekima kipaji chako hakitoshi kukufanya kuwa mjanja Kwa kweli naamini Vijana wamejifunza
13 hours ago
rachel_lovenec: So sad...ila tuwe n huruma jmn tukumbuke kuwa mapnz n km upofu,then humjui mtu nafc yke inachomaanisha tusiwe watu wa kulaumu jmn baya likija huwez kujua,hata km alikosea ila kikubwa aombe mungu kila mtu anataman kuwa n aman na kuwa n mpnz,pole wolper piga goti omba mungu songa mbele,unaish kwa pesa zko n pumz y mungu wanadam midomo yetu imeumbwa kuongea ukituendekeza hufiki ppte mpnz.
13 hours ago
shadirak: Mh!!!! Toa kitabu kwa huwo mkasa mana nihatareeee
13 hours ago

Previous
Next Post »

Total Pageviews